HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,432
- 924
Jamani naombeni msaada,
Kuna hiki chuo cha National Institute of Transport mpaka leo bado hakijatoa majina ya first degree waliochaguliwa kuingia pale kwa mwaka 2016/2017 na me na hisi nimechaguliwa pale, sababu niliomba vyuo vitatu yaani UDSM, UDOM na NIT Profile inaonyesha i have selected ila udsm na udom sipo.
Kama kuna mwanafamilia wa JF anayo list tafadhali mnisaidie ya hapo NIT