Tatizo kubwa la product za NISSAN katika soko la Tanzania ni upatikanaji wa spare parts kama ulivyosema. Hata hivyo inategemea upo sehemu gani hapa Tanzania, maana kwa Dar es Salaam sidhani kama unaweza kukosa kitu ila nijuavyo spare parts za nissan zinapatikana nairobi tu. Faida kubwa ya nissan ni kwamba spare parts zake hazichakachuliwi, utainunua kwa bei kubwa na pengine mbali sana lakini itadumu sana