Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Brother shida ndo tatizo ila acha nisubiri bado siaminiHivi uwa mtu unashindwaje kutambua kuwa unapigwa?
Kama mtu anakukopa anakufahamu ana na kwako anapajua bado anasumbuka kulipwa halafu eti upewe mkopo hivi hivi online tu.
Kweli watanzania tunapenda kutapeliwa
Ni sawa na kusubiri embe chini ya mnazi ushapigwa yakheeBrother shida ndo tatizo ila acha nisubiri bado siamini
Shukrani Kaka nafahamu na naelewa Sana ila ukweli sijawahi kukopa online ndo maana Nina wasiwasi vipi walikupa kiasi gani?Wanatoa mkuu. Ila sio ndan ya ck moja kama ambavo unahisi. Pole Sana na ikitoka unipe mrejesho
Una Hakika na unachosema??Ni sawa na kusubiri embe chini ya mnazi ushapigwa yakhee
Dalili zote zianonyesha ni kweli umepigwa jiandae kisaikolojiaUna u
Una Hakika na unachosema??
Ila wanatoa kweliiiii??Jamaa wameanza kuchukua ripa kabla yakutoa mkopo, kwa iyo kutoa mkopo itakua ni option kwao.
Bado siaminiNi sawa na kusubiri embe chini ya mnazi ushapigwa yakhee
Habari zenu ndugu zangu
Ukweli siko poa kiakili..
Hapo unataka kukopa au kukopesha? Maana ww ndiye mwenye pesa unatuma tuuu kisa fomu ?? Ww ni mwepesi sana kuliwa kichwa?Habari zenu ndugu zangu
Ukweli siko poa kiakili...
Nishaacha kamari haina maana kwanguBora ungebet Leo Kuna mechi za UEFA CHAMPIONS ungepiga pesa
Brother tatizi shida tu ndio maana nimejilipuaHapo unataka kukopa au kukopesha ? Maana ww ndiye mwenye pesa unatuma tuuu kisa fomu ?? Ww ni mwepesi sana kuliwa kichwa ?