L Lional Member Oct 4, 2017 10 0 Nov 16, 2017 #1 Nimechaguliwa chuo cha kairuki kozi ya MD, mkopo nimepewa wa meal and allowance bas, nimekwama ada maana ni million 7. Je naweza kwenda nikalipa kidogo then nifanye transfer ya chuo kingine, je huwa inawezekana kuhama.
Nimechaguliwa chuo cha kairuki kozi ya MD, mkopo nimepewa wa meal and allowance bas, nimekwama ada maana ni million 7. Je naweza kwenda nikalipa kidogo then nifanye transfer ya chuo kingine, je huwa inawezekana kuhama.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Jan 17, 2015 23,543 70,441 Nov 16, 2017 #2 Kuhama unaweza mkuu. Jaribu kufika kwa Dean of Faculty atakupa muongozo
juvenile davis JF-Expert Member Apr 13, 2015 4,752 4,449 Nov 16, 2017 #3 Kuhama inawezekana kabisa mkuu, tena kile chuo wakiamua kukukamata wanakukamata kweli,utasapua hadi ushangae pale
Kuhama inawezekana kabisa mkuu, tena kile chuo wakiamua kukukamata wanakukamata kweli,utasapua hadi ushangae pale
L Lional Member Oct 4, 2017 10 0 Nov 16, 2017 Thread starter #5 juvenile davis said: Kuhama inawezekana kabisa mkuu, tena kile chuo wakiamua kukukamata wanakukamata kweli,utasapua hadi ushangae pale Click to expand... Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP?
juvenile davis said: Kuhama inawezekana kabisa mkuu, tena kile chuo wakiamua kukukamata wanakukamata kweli,utasapua hadi ushangae pale Click to expand... Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP?
L Lional Member Oct 4, 2017 10 0 Nov 16, 2017 Thread starter #6 Machange said: Fee 7 m! Click to expand... Mil 7 kasoro
TechTino Member Oct 16, 2016 71 25 Nov 16, 2017 #7 Lional said: Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP? Click to expand... tafuta unakotaka kwenda kama kuna nafasi then nenda chuo ulichochaguliwa ila lazima TCU na loan board wajue
Lional said: Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP? Click to expand... tafuta unakotaka kwenda kama kuna nafasi then nenda chuo ulichochaguliwa ila lazima TCU na loan board wajue
juvenile davis JF-Expert Member Apr 13, 2015 4,752 4,449 Nov 16, 2017 #8 Lional said: Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP? Click to expand... Kwanza tafuta chuo cha kuhamia then nenda kairuki,,ukienda kairuki utapata utararibu wala usiogope.
Lional said: Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP? Click to expand... Kwanza tafuta chuo cha kuhamia then nenda kairuki,,ukienda kairuki utapata utararibu wala usiogope.
J Junior Teacher Member Feb 27, 2017 83 52 Nov 17, 2017 #9 Angalia utaratibu wa kuhama umewekwa kwenye website ya TCU! Mwsho wa transfers ni tar 20 November!
A Alexanda jozee Member Sep 9, 2019 17 4 Sep 9, 2019 #10 chaliifrancisco said: Kuhama unaweza mkuu. Jaribu kufika kwa Dean of Faculty atakupa muongozo Click to expand... Brooh vipi
chaliifrancisco said: Kuhama unaweza mkuu. Jaribu kufika kwa Dean of Faculty atakupa muongozo Click to expand... Brooh vipi