Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP?Kuhama inawezekana kabisa mkuu, tena kile chuo wakiamua kukukamata wanakukamata kweli,utasapua hadi ushangae pale
Mil 7 kasoroFee 7 m!
tafuta unakotaka kwenda kama kuna nafasi then nenda chuo ulichochaguliwa ila lazima TCU na loan board wajueUtaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP?
Kwanza tafuta chuo cha kuhamia then nenda kairuki,,ukienda kairuki utapata utararibu wala usiogope.Utaratibu ni upi wa kuhama,chuon sijafika kufanya registration. Nianzie WAP?
Brooh vipiKuhama unaweza mkuu. Jaribu kufika kwa Dean of Faculty atakupa muongozo