Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

Lional

Member
Oct 4, 2017
10
0
Nimechaguliwa chuo cha kairuki kozi ya MD, mkopo nimepewa wa meal and allowance bas, nimekwama ada maana ni million 7. Je naweza kwenda nikalipa kidogo then nifanye transfer ya chuo kingine, je huwa inawezekana kuhama.
 
Kuhama inawezekana kabisa mkuu, tena kile chuo wakiamua kukukamata wanakukamata kweli,utasapua hadi ushangae pale
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom