Torch
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,205
- 1,139
Wakuu, naomba msaada nifanyanje niwezepata namba ya kitambulisho cha NIDA.
Mimi nilikuwa mtumishi wilaya fulani mkoa wa Kagera, na huko tuliandikishwa na kupewa kitambulisho. Suala linakuja baada ya kupewa kitambulisho nilipoteza ndani wiki moja na ile namba sikuihifadhi sehemu yeyote.
Siku chache baada ya kupata kitambulisho niliacha kazi huko Kagera, kwani nilipata kazi nyingine kwenye shirika binafsi na kupelekwa nchi jirani kwa muda. Hivyo ikapelekea kushindwa kufanya process za kupata kitambulisho kipya.
Nimejaribu mara kadhaa kutuma ile SMS ya kwenda 15096 ili kuletewa namba imeshindkana na siku zimebaki chache.
Msaada naombeni ushauri na njia nitakayofanya nipate namba ya kitambulisho kwa wepesi kwani nilishakuwa nacho. Na ukizingatia kazi zangu hazitaenda bila ya kuwa na laini yangu hii inayotambulika.
NB: Musinione mzembe, nchini nimerudi sasa nina wiki tu.