nyotanjema
Senior Member
- Sep 24, 2011
- 136
- 32
Ninapajua vizur mm niliacha kazi pale wakat nalipwa laki 4 hv take hm miaka ya 09 wakat 2po victoria. Ndugu zangu kuajiriwa ni utumwa fikirien mambo mengine ww kazi yako jama punda unaumia ili mzigo wa bosi ufike