Mimi ni mwalimu katika shule moja ya sekondari nchini.
Nina diploma ambayo ya ualimu ambayo niliipata mpwapwa mwaka 2009, ninaomba msaada wa haraka kama kuna uwezekano kuhusu application ya NOAS kwanza kuna matatizo zaidi ya mawili nakutana nayo:
1.Nilifanya mtihani wa kidato cha nne 2002 sikubahatika kufanya vizuri kwa hiyo nikafanya mtihani mwingine (another sitting) 2004 nikapata credit hivo kujiunga na private sasa shida nayopata ni jinsi ya kuingiza matokeo yangu haya kwenye system kwani matokeo yaliyokubali ni yale ya kikao cha kwanza, naombeni msaada jinsi ya kuweka matokeo yangu ya pili.
2. Mimi mwalim kama nilivyosema hapo awali kwa hiyo nashindwa kuapload matokeo yangu ya diploma kila nikijaribu kuapdate ina feli kabisa.
Mwisho vyuo vinavyotoa fani yangu pendwa ya ualim kama UDOM (NG'OX), MUCE NA DUCE sijaviona kwenye orodha ya vyuo vya NACTE.
Naomba msaada kuhusiana na jambo hili bcoz deadline ni tarehe 30 Mei.[/QU..nacte inadili na vyuo vya diploma bt hiyo muce na duce n vyuo vya degree ko application yake no kupitia tcu
Ondoa shaka, system kwa Universities bado haijawa tayari.nimeshalipia na kujiasajili nacte kwahiyo ntatakiwa kulipia tena?
Vyuo vikuu tunalipia TCU na vocha zipo NBC so unatakiwa ulipie huko na vocha ni 50000nimeshalipia na kujiasajili nacte kwahiyo ntatakiwa kulipia tena?
Kwa kuwa amelipia na kujisajili NACTEVyuo vikuu tunalipia TCU na vocha zipo NBC so unatakiwa ulipie huko na vocha ni 50000
Ohoo nashukuru kwa ufafanuzi maana mi nilitumia njia hiyo but nilikuwa fresh from schoolKwa kuwa amelipia na kujisajili NACTE
mamba1 Ataendelea na application kupitia NACTE.
Hana sababu ya kufanya application upya kupitia TCU.
Zingatia kuwa yeye tayari ana DIPLOMA hivyo mfumo wa NACTE ndi haswa anapaswa kutumia.
Mkuu naomba ufafanuzi kama sio mwongozo, kuna njia ngapi za kufanya maombi ya kujiunga kusoma diploma ya kawaida ya masomo ya uhandisi.Kwa kuwa amelipia na kujisajili NACTE
mamba1 Ataendelea na application kupitia NACTE.
Hana sababu ya kufanya application upya kupitia TCU.
Zingatia kuwa yeye tayari ana DIPLOMA hivyo mfumo wa NACTE ndio haswa anapaswa kutumia.
Jaman msichanganye mwenzenu kama hampo sure. Yeye kwasababu ni diploma holder lazima alipie nacte na lazima afanye through nacte. Labda mumwambie kuwa system ya Ku apply for degree thru nacte bado haijawa active so asubir.Vyuo vikuu tunalipia TCU na vocha zipo NBC so unatakiwa ulipie huko na vocha ni 50000
Ondoa shaka. Deadline kwa Degree prog. Bado sana.Naona deadline ya nacte ipo karibu lkn tcu hawajafungua daaaah hamsini yangu