habar wana JF.
najua JF kuna watu wenye ujuz au vpaj mbalimbali.Nikiamua kujifunza drums but napata shida kwenye mazoez.Nimejaribu kupakua drummless tracks kwenye mitandao nmeshindwa,kama kuna mtu anajua jinsi naweza kuzipata anisaidie hata kwa mawazo tu.