Msaada kuhusu mtengeneza pesa.

rusesa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
538
233
Habari wana jf.

Naomba kujua hivi mtu ambaye yupo kwenye mitambo ya kutengeneza pesa.
a) Hivi huyu mtu atakuwa na pesa kiasi gani?

b) Matumizi yake ya pesa yakoje?

c)Kama angekuwa mtanzania unafikiri ingekuwaje?

Naomba kuwasilisha!
 
yaani
 
kutengeneza pesa sio deal sana, deal ni kurecycle pesa!

Inakuwa rahisi kutimika na ulinzi wake sio mkubwa sana na mara nying unafanyika katika nchi zinazotumika hizo hela
 
Back
Top Bottom