Jitu Kabeja Diggala
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 165
- 184
hi minara inaitwa Mono pole, Je Unataka mingapi? na unahitaji urefu gani? au uni Pm aina ya kazi unayotaka kufanya nayo nikupe BeiMambo vp wakuu?
Naomba kufahamishwa na wajuvi kuhusu huu mnara na wapi naweza upata hapa Tanzania na kwa bei gani?
Hapo ungesema kua unatafta wa matumizi gani kama unaweka airport au unataka kufungua kituo kidogo cha redio.Mambo vp wakuu?
Naomba kufahamishwa na wajuvi kuhusu huu mnara na wapi naweza upata hapa Tanzania na kwa bei gani?
View attachment 1662800View attachment 1662802
Hapohapo bossHapo unataka kufungua kituo kidogo cha redio.
Unahitajika kwaajili ya kituo kidogo cha redio mkuuhi minara inaitwa Mono pole, Je Unataka mingapi? na unahitaji urefu gani? au uni Pm aina ya kazi unayotaka kufanya nayo nikupe Bei
Hapo tembelea duka la vifaa vya kielektroniki utapata.Hapohapo boss
Mkuu Minara na hizi nguzo za kuweka antenna za Radio zinatengenezwa kwa kufuataNah
Unahitajika kwaajili ya kituo kidogo cha redio mkuu
Antenna haina uzito wa kutisha mkuu,approximately 6kgs na urefu wa hiyo monopole uwe 25 meters pekee,Mkuu Minara na hizi nguzo za kuweka antenna za Radio zinatengenezwa kwa kufuata
1.aina na uzito wa hiyo antenna
2.uzito wa mnara wenyewe na Urefu wake
3.wind Loading hali ya upepo na aina yake sehemu utakao fungwa mnara.
na pia lazima ufungwe aviation Light (taa ya kutoa tahadhari kwa marubani wa Ndege wanapopita nyakati za usiku)
sasa kama urefu aujulikani ni shida kidogo,please fafanua zaidi tukupatie mnara unaostahili
sawa check pmAntenna haina uzito wa kutisha mkuu,approximately 6kgs na urefu wa hiyo monopole uwe 25 meters pekee,
Hali ya upepo siyo ya kutisha make ni maeneo ya shinyanga