Msaada kuhusu mkopo

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jaman naomben kujua kuhusu mikopo,
mm niko pale SAUT nachukua certificate ya ITT (INFORMATION TECHNOLOGY TECHNICIAN) je mwakan nikichukua Advanced Diploma naweza kupata mkopo? maana karo na marupu rupu ya naul na msosi aise gharama ni kubwa mno mpaka wa nyumban kwetu wanaona namalza hela tu!
Mwenye ufaham anijuze tafadhal
 
Back
Top Bottom