Msaada kuhusu mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu mkopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Zuia Sayayi, Oct 3, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jmn naomben kujua kuhusu mikopo,
  mm niko pale SAUT nachukua certificate ya ITT (INFORMATION TECHNOLOGY TECHNICIAN) je mwakan nikichukua Advanced Diploma naweza kupata mkopo? maana karo na marupu rupu ya naul na msosi aise gharama ni kubwa mno mpaka wa nyumban kwetu wanaona namalza hela tu!
  Mwenye ufaham anijuze tafadhal
   
Loading...