Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,746
- 109,821
Yaani myth kama za kijijini!
Mambo ya ZONGO hayo...
Yaani myth kama za kijijini!
Dada una miaka mingapi? Una watoto? Unahisi kuna kitu ukijishika karibu na tumbo la uzazi? Kuna wanawake anaweza kuwa na tumbo linaongezeka kama mjamzito kumbe ni uvimbe ambao unakuwa ndani ya tumbo. Na wengi wao wanakuwaga na uvimbe kwenye ovaries au kwenye mfuko wa uzazi(uterine fibroids.) lakini usisahau pia kuwa tumbo linaweka kuwa kubwa kwa sababu zingine ambazo zinaweza kuwa Faeces, Fluid, Fats, Flatus na Fetus.
Thanx kwa ushauri wako. Ni kweli nimepima nina uvimbe.