Msaada kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii

Pendesha

Member
Apr 18, 2013
99
60
Wakubwa zangu shikamoni, vijana wenzangu mambo vipi?

Jamani naombeni mnisaidie kunipa picha halisi juu ya uzuri,au ni mfuko gani n mzuri kwa mimi kama kijana ambaye ndoo nataraji kuingia kwenye tasinia ya ajira. Maana tuliyo wengi nikiwepo mimi binafsi sina elimu yoyote kuhusu hii mifuko mfano.NSSF,LPF PPF n.k sasa nimefikilia nikaona hapa inaweza kuwa sehemu sahihi kwa wenzangu ambao mnaijuwa hii mifuko vizuri kama mkanipatia na mimi kidogo kaelimu kwa hili.

Nategemea kutolewa matongotongo toka kwenu.
Asanteni na karibuni.
 
Back
Top Bottom