Msaada kuhusu Mbeya university of science and technology

Aisee mbona siku hazitembei nimechoka kukaa home nahamu nipae nije must nikutane na ma engineers
Bora wewe kijana umepata chuo na unajua umechaguliwa wapi... sie wenzio tumeomba vyuo toka mwezi wa tano mpaka sasa hatujui kama tutachaguliwa au la, na ni sehemu gani tutachaguliwa
 
Computer engineering chuo chochote kile usiiache haswa kama una ambition na Computer
 
mhh mmeanza kunitisha maana hata mm nilitaka kuja must kwa course ya computer science level ya degree
kama huna intrest na computer achana kabisa na computer science
kuna watu wamezaliwa kuwa computer scientists sio watu watu wanaweza kuwa computer scientists
 
kama huna intrest na computer achana kabisa na computer science
kuna watu wamezaliwa kuwa computer scientists sio watu watu wanaweza kuwa computer scientists
uko sahh ndugu mm nmemaliza dip ya comp science kwenye chuo fulan bt najiona km cko vzur sana kutokana na nilichokipaa pale
 
uko sahh ndugu mm nmemaliza dip ya comp science kwenye chuo fulan bt najiona km cko vzur sana kutokana na nilichokipaa pale

Nenda MUST wewe acha uoga!!wanavosema kwamba UDSM ndio chuo kinachoongoza kwa kutoa wanafunzi wazuri wa sheria haina maana kuwa hawafanyi vizuri kwenye kutoa waalimu!wanatoa walimu wazuri tu but you cant compare with other UNIVERSITIES!

MUST ni wazuri mno kwa CIVIL ENG na ELECTRICAL ENG.
 
Kwani wewe umepata ufaulu gan
Kijana kasome kozi uliyochaguliwana ukitafuta sana ushauri utaweza poteza hiyo fursa. Kitakachodetermine ubora wa utakachopata ni willingness na determination yako. Si kwamba kwa computer chuo hakitoi vijana wazuri, kama ndo ndoto yako kasome.
 
Asante mkuu . pamoja sana
 
Back
Top Bottom