Bei uionayo sio utakayo lipia.
Sababu
- Hawajaweka gharama ya kusafirishia
- Huwalenga wanunuzi wa jumla jumla (
japo waweza uziwa moja, njia ya usafirishaji ni express na gharama huwa juu, ukijumlisha manunuzi + kusafirisha, basi bei itazidi ile ya ebay au aliexpress.)
- Bei halisi (ununuzi wa bidhaa na kusafirisha ) utapewa baada ya kufanya mawasiliano na muuzaji.
Karibu
www.bit.ly/101buy4me
Iwapo item iko ebay (au site nyingine yeyote ile) na haitumwi Tanzaniabasi waweza wasiliana nami kufanikisha hayo manunuzi