Msaada kuhusu makosa ya "JINAI" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu makosa ya "JINAI"

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kurzweil, Jul 18, 2013.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2013
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,620
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Poleni na majukumu ya kila siku. Leo nimekuja nikiwa na swali moja kuu. Kutoka kwenu naomba msaada wa kujua nini maana ya Jinai? na ni yapi hasa ni makosa ya jinai? Je kuna makasoa maalumu ambayo ni ya jinai? Au ni vigezo gani vinatumika kulipa kosa hadhi ya jinai?
  Natanguliza shukrani zangu za dhati.
   
 2. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2013
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 319
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Jinai nikosa dhidi ya jamuhuri. Sheria ya Sura ya 16 ya sheria za Tanzania iliofanyiwa marejeo 2002 inataja makoso ambayo
  ni dhidi ya Jamuhuri pamoja na adhabu zake. Sasa Jamuhuri ni nini? Sheria ya sura ya 16, tajwa humu, katika sura yake ya pili inatoa maana ya Jamuhuri kuwa “
  ....refers not only to all persons within Mainland Tanzania but also to the persons inhabiting or using any particular place, or any number of those persons, and also to such indeterminate persons as may happen to be affected by the conduct in respect to which such expression is used;” Unapokuja katika sheria za kimataifa, jinai huwa katika sura ya Haki za binadamu (Jus Cogens ambazo hulindwa na Peremptory Norms), hivyo unapovunja haki ya binadamu unakuwa umetenda jinai, pia huarifu wa kivita ni jinai Kimataifa. Zaidi ya haya ni vigumu kukuta kosa la jinai Kimataifa kwani jinai ya nchi moja inaweza kutokuwa jinai katika nchi nyingine. Mfano ndoa za jinsia moja Tanzania ni jinai ila Marekani si jinai.
  Nazani haya yanakutosha.
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2013
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,620
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280
  Shukrani sana Mbut na Chai
  tenaChai mungu akubariki.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2013
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 319
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  shalom
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Marry Hunbig

  Marry Hunbig JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2013
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 1,485
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  very well said.
   
Loading...