kwa sababu hawana dini, pili inatambulika kisheria.Mmmh kwanini ya kimila?
kwa sababu hawana dini, pili inatambulika kisheria.
Shaidi wa Mungu ni nani? hivi Mungu huyuhuyu ninayemjuwa mimi anahitaji shahidi? kama hujui kitu ni heri ukae kimya tu utahesabiwa hekima.Ndoa ya kimila haina shahidi wa MUNGU wala shahidi wa Serikali lakini inatambulika kikatiba
Oooh kumbe, nilikua sijui, haya baba nanii
By the way hako katoto kwenye Avatar ni kacute kwakweli.
Ukilipiwa mahari wewe ni halali ya aliyekulipia. Kama u~mkiristo rejea ndoa ya Rebeba ktk kitabu cha mwanzo nayo ukiichunguza saanaa iko kama ni ya kimila.