Nina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena,
amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa..
Mwenye uelewa atujuze..
Me mwenyewe nina mafua ambayo nahisi ni aleji but i don't know ni aleji ya nini hasa.nahisi ni vumbi coz nikiwa maeneo dizaini hizo hali huwa mbaya.me huwa natumia vodonge vinaitwa celestamine ambavyo ni kwa ajili ya aleji.
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena,
amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa..
Mwenye uelewa atujuze..
Mafua sugu yanasababishwa na Maradhi ya (Mucus) Dawa yake kula punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi unapo amka tafuna hizo punje 2 za Kitunguu Saumu kisha meza kwa maji ya Uvuguvugu. Na Wakati wa mchana kula tena kama ulivyo fanya asubuhi na wakati wa usiku kula tena kama ulivyofanya wakati wa mchana tumia hiyo dawa skwa iku 3 umepona hayo mafua yako sugu.
Where does all the mucus come from when you have a cold?
A stuffy nose, then, is your body's attempt to block and expel an infection attacking via your respiratory tract. The extra secretion of mucus to the nose — which comes from the cells that line your sinuses and upper reparatory tract — is the effort to flush out the nasal passages to send those unwelcome germs packing.
Wewe nani kwambia kuwa Mafua sio ugonjwa ?Ulaya wazungu wengi wanateseka mpaka kufa kwa ajili ya hayo Mafua unayo dharau wewe.Hujawahi kuumwa na mafua wewe Mkuu ndio maana unayadharau mafua ni hatari sana ukiwa nayo.
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena,
amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa..
Mwenye uelewa atujuze..