Msaada kuhusu luku za vig'avig'amuzi

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,582
Reaction score
7,249
Ndugu naombeni msaada kuhusu hivi vidude maana sasa nina wiki ya pili sina umeme kwangu hii Luku ilizima gafla nikawaita Tanesco wamekuja wanasema tulichomeka vitu vinavyotumia umeme sana hivyo hii mita ndani kwa ndani imejilock kuifungua wameniambia watanitumia namba ya kufungulia ila sasa ni wiki ya pili sijapata hizo namba kila nikiwapigia au kwenda naambiwa nitatumiwa hizo, kwa mwenye uelewa kidogo please naona kama wananitengenezea mazingira ya rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…