toghocho
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 1,172
- 198
jamani wakuu nisaidieni, nina degree ya finance, na nimesoma Economics, Commerce and Acountancy, advance level, hivi nikitaka kuwa wakili, ni lazima kuanza upya degree ya law, au naweza kufanya postgraduate?if so, (2nd option) wanahitaji qualification gani, and then ukimaliza unaweza kwenda law school? ambaye anaknowledge ya hii kitu anisaidie tafadhali!!