msaada kuhusu law qualification | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuhusu law qualification

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by toghocho, Apr 20, 2012.

 1. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jamani wakuu nisaidieni, nina degree ya finance, na nimesoma Economics, Commerce and Acountancy, advance level, hivi nikitaka kuwa wakili, ni lazima kuanza upya degree ya law, au naweza kufanya postgraduate?if so, (2nd option) wanahitaji qualification gani, and then ukimaliza unaweza kwenda law school? ambaye anaknowledge ya hii kitu anisaidie tafadhali!!
   
 2. mka

  mka JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu kulingana na The Law School Act of 2007 na The Advocates Act Cap 341 ukitaka kuwa wakili ni lazima uwe na degree ya kwanza ya sheria (LLB) na siyo postgraduate. Pia baada ya kupata LLB utapaswa kujiunga na Law School. Ukifaulu ndo utapetition kwa Jaji Mkuu akuapishe kuwa wakili.

  Mkuu kama unania ya uwakili hauna jinsi jiunge na masomo ya degree ya kwanza, hakuna njia ya mkato. Postgraduate degrees in laws hazikupi nafasi ya kuwa wakili. Kama una kazi nakushauri jiunge na Open University komaa utafanikiwa.
   
 3. okaoni

  okaoni JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 1,197
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Mkuu naomba niulize na mimi swali la nyongeza.Sheria zote mbili ulizozitaja zilitungwa wakati kitengo cha sheria cha chuo kikuu cha Dar kikiwa na digrii ya kwanza ya aina moja.Lakini sasa hivi nadhani wanazo mbili yaani LLB na BALE (bachelor of law inforcemet) ambayo nathani core subject nyingi za LLB nazo wanazisoma kwa kufikiri kwangu.je kwakuwa law school wameorodhesha core subjects ambazo kila anaijiunga hapo anatakiwa kuzisoma hawa wa BALE wanaweza ku qualify?
   
 4. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ukisoma sheria na regulation zake za 2011 Law school Act its state that for a person to qualify should hv LLB degree na hizo core subject zimetajwa kama additional qualification tu
   
 5. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah, mkuu shukrani, but hizo LLB open inachukua muda gani?, naona mambo ni too complicated kwa nini?
   
 6. mka

  mka JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu ni wewe kukomaa tu na shule, ni kuanzia miaka mitatu nadhani. Inategemea na usomaji wako wewe mwenyewe.
   
 7. okaoni

  okaoni JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 1,197
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Mkuu nakubali na asante kwa ufafanuzi. nadhani kwa kuwa sheria imesema na iko hivyo strictly so called hatuna ujanja ila sijui nchi nyingine zenye utaratibu wa law school wanafanyaje
   
Loading...