Msaada kuhusu laptop kutoingiza charge

ally jamal

New Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Wakuu naomba msaada, laptop yangu dell haiingizi charge na bettri inasoma 0% but ninaitumia kama kawaida. Tatizo ni kwamba siwezi kuitumia bila umeme, (imekuwa desktop)
 
Pole Ally.Ipeleke Infosys wakuangalizie.kama itakuwa imekufa charging system hapakuwa na jinsi zaidi kununua laptop nyingine sanasana tafuta mtu akufungulie hard disk uhamishe files zako.ila kwanza jihakikishe kwamba battery na huo waya viko sawa
 
Asante mkuu
Je? Haiwez kuwa kuna settings ambazo zimeenda sivyo???
 
Yawezekana tatizo ni adapter, battery au charging system inabidi kufanyiwa vipimo kwanza
 
Ni hivi angalia battery kwanza tafuta battery kama hiyo pili hiyo inasoma ndo maana unatumia umeme inamaaana ina charge ukiona haichaji basi update driver au system nilitokewa na kitu kama hicho nikafanya hivyo hapa napiga mzigo kama kawiz
 
battery marehemu.uko mkoa gani.nenda dukani waambie battery inakusumbua wakupa battery ataliweka.alafu washa mashine yako ikishawa angalia icon battery. alfu chomeka adapta angali kwa dk 15 imeongezeka asilimia ngapi.kisha zima Kaa tena dk 15 washa mashine angalia asilimia kama imeongezeka.hapo lipa pesa nenda.USHAURI LAPTOP SIMU...0754 60 45 67.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…