Msaada kuhusu kusoma chuo cha CBE

Msaada kuhusu kusoma chuo cha CBE

vp IFM akasemee Banking and finace
IFM ni pazuri ila na yeye kichwani awe vizuri maana msuli wake sio wa mchezo mchezo, ajue anaenda chuo asifanye mchezo, ni pazuri, hata MoCU, Vyuo vya uhasibu Arusha, Dar na Mbeya ni vizuri lakini awajibike hakuna mchezo huko ndio maana hata elimu yao ina kidhi viwango na ladhwaaaaaaaa haswaaaaaaaaaaaaaaaa
 
lkn vp αcσuntαnt nα вαnkíng чєp ípσ pσα mkuu
 
Si kweli. CBE wanampokea mtu mwenye pass 4 excluding religious subject kwa certificate.. Na kwasasa uombi Direct Chuo unaomba kupitia NACTE, kutumia mfumo wa CAS.
Labda mwaka huu ndio wabadilike lakini hata mwaka jana maonesho ya nane nane hapa Mwanza walikuwa wanatangaza tena kwa kipaza sauti kuwa hata kama una D mbili usisononeke njoo CBE uanze certiface!
 
Back
Top Bottom