Msaada kuhusu kusoma chuo cha CBE

tembophd

Senior Member
Jun 3, 2016
113
34
Kuna mdogo wangu anataka kwenda kusoma Chuo cha CBE.
Matokeo yake ni
Civics D
Hist. D
Geog. D
Kiswahili C
E.Language D
Literature. E
Chemistry E
Biology D
Math E

Kwahiyo kwa chuo cha CBE anaweza kusoma course gani?
Tafadhali naomba msaada wenu
 
C

Kuna mdongo wang anataka kwenda kusoma Chuo cha CBE.
Certificate ya accountancy au procurement inamfaa mkuu
matokeo yake ni
civc D
Hist. D
Geog. D
kiswahili C
E.Language D
Literature. E
chemistry E
biolog. D
Math E
Kwahy kwa chuo cha CBE anaweza kusoma course gani
plzZzzzz msaada wenu
t
 
Kwa CBE atasoma Certificate Course yoyote huwa hawamind labda kwa zile ambazo hana.Lakn watafute kupitia Web ya NACTE.
 
mh! CBE hata angekuwa na D mbili angesoma tu! ushauri wangu atafute na chuo kingine, mitaala ya CBE iko chini, akiendakuendelea na degree vyuo vingine au hata Diploma atapata shida! CBE achana nao hawana viwango
 
Ungemtajia baadhi ya vyuo ambavyo ungemshauri aende.
 
mh! CBE hata angekuwa na D mbili angesoma tu! ushauri wangu atafute na chuo kingine, mitaala ya CBE iko chini, akiendakuendelea na degree vyuo vingine au hata Diploma atapata shida! CBE achana nao hawana viwango
níѕαídíє mkuu kwα hízσ αlαmα zαkє вc mkuu
 
mh! CBE hata angekuwa na D mbili angesoma tu! ushauri wangu atafute na chuo kingine, mitaala ya CBE iko chini, akiendakuendelea na degree vyuo vingine au hata Diploma atapata shida! CBE achana nao hawana viwango
vp IFM akasemee Banking and finace
 
Back
Top Bottom