Msaada kuhusu kurisiti

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Hili dogo sasa baada ya kupata
div IV 27,
Phy D
bio C
chem D
kis D
maths D
geo D
eng F
His F
Civ D
NINALIAMBIA LIENDE NURSING LINAGOMA
kuhusu kurisi linasema angalau, sasa hv mtu anarisiti masomo aliyofeli tu au ni yote na akifaulu masomo hata ma3 then mengine akapata F hii inaweza ikawa mbaya au itamkost
NAOMBENI MSAADA KUHUSU HILO
 
jitahidi kumuelekeza vizuri aewele faida na hasara za kureseat tizama mambo yaliyochangia yeye kufanya vibaya kama ni mazingira yalikuwa nje ya uwezo wake kama (uhaba wa waalimu,vifaa shuleni) kama uwezo wake ni mdogo hatoweza kureseat mshauri tu aende nursing kwa kweli
 
Nimemshauli aende Upolisi then atajiendeleza kielim akiwa huko mamekubali je hz alama zitafaa na hlf ameniuliza kwan polic wanalipwa Tsh. Ngapi? Kima cha chin? Nikakosa jibu.
Sasa swali je upolisi utamfaa kwa hz alama.?
 
Mkuu ka kuna uwezo kimtindo wa kifedha mpeleke akasome certificate yoyote au akapige ualimu.Ila issue ya kurisiti sii support kabisa, mara nyingi inakuwa ka kupoteza muda anaweza akarisiti na akakosa credit tena.
 
Nimemshauli aende Upolisi then atajiendeleza kielim akiwa huko mamekubali je hz alama zitafaa na hlf ameniuliza kwan polic wanalipwa Tsh. Ngapi? Kima cha chin? Nikakosa jibu.
Sasa swali je upolisi utamfaa kwa hz alama.?

yan we mdogo wako humpendi,ndo nin umpeleke upolice thn aende kulinda pesa za wenzake bank,mpeleke college yoyote apate elimu itakayo mkomboa,huko police ataishia kunywa gongo 2.
 
aende nursing,ajira nnjennje,siku hizi kazi za kawaida ni ngumu kupata,kama anataka sifa shauri yake ila nursing ndio safi atajiendeleza taratibu akiwa kwenye ajira,mweleze vizuri watu tuna digree zetu huku lakini hamna ishu,ni afadhali ningesoma hata nursing sa iv ningekua na maisha yangu sasa just imagine kama inafikia hatua hii,tatizo waliopo vyuon na mashuleni huko hawaamini kazi hamna,mi mwenyewe nilikua siamin hivyo ila nimejionea mwenyewe msoto
 
Back
Top Bottom