sina shaka mkuu nazani umeelewa sasa.Na mimi nimehisi ni tapeli huyo. Nawatafuta kupatana sioni namba zao za simu. Wizi mtupu huu
habari za kutwa wana jf naimani nyote wazima wa afya njema. lengo la kuandika haya nahitaji kujua bei ya bati ya msauth inanunuliwa bei gani maana zinachanganya naweza nikajikuta nanunua bat ya mchina nikazani ni msouth.
ni hayo tu.. natanguliza shukran kwenu.
sina shaka mkuu nazani umeelewa sasa.
Kupatana watakuwa tayari wamekuingiza chaka mkuu.
Wewe uelewa wako Ni jipu hebu ona hapa hiyo app ya kupatana walichokuwekea
Me nahisi unahamu ya kuibiwa au unatafuta mwanya wa kuiba tu View attachment 326977View attachment 326978
Unacholalamika nini au English wito?