Msaada kuhusu kuomba mkopo

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Habari jf,mwenye uelewa juu ya hiki ani elekeze tafadhali nipo katika harakati za kuomba mkopo ila kuna kitu kina ni tatiza kuna kipengele kina sema kama uliwahi kuwa mnifaika wa mkopo una takiwa kurejesha angalau kwa asilimia 25,mimi sina kazi ndo nime maliza kidato cha sita mwaka huu..Mkopo nili chukua wakati nipo udom baada ya kumaliza kidato cha nne 2014 na kupangiwa cozi iliyo julikana kama special diploma ya education.Je ni kama na takiwa kulipa nifuate utaratibu gani wa malipo.Asanteni
 
Unalipa ndio 25% , unalipa benk, then unaipeleka bank slip pale mwenge makao makuu, unapewa risit yao, wanakuruhusu kupata mkopo mwingine,


Ulitumia bei gan jumla kwa mkopo wa awali ?
 
Hiyoo ya udom,,, ishapitwa na wakati sidhani kama jina lako lipo kwenye system kule loan board,,, jaribu kuomba tuu mkuuu
 
Unalipa ndio 25% , unalipa benk, then unaipeleka bank slip pale mwenge makao makuu, unapewa risit yao, wanakuruhusu kupata mkopo mwingine,


Ulitumia bei gan jumla kwa mkopo wa awali ?

1200000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…