Msaada kuhusu kulipia matangazo FB (Sponsored page)

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Habari wakuu, nataka nianze kulipia matangazo kupitia Facebook sponsored page nataka nianze na dola moja au dola mbili kwani ndo uwezo wangu.
.
.
Msaada, je nianzie wapi? je ni kweli kwa dola moja nitapata wateja?

Msaada please hata kwa mliowahi kufanya hii na please ushuhuda wenu utakua msaada kwangu
Asanteni
 
Asante kwa uzi mzuri, hata mimi napenda nifahamu kuhusu hilo na je MPESA MASTER CARD inaweza tumika kulipia matangazo kwenye page ya facebook?
 
Kupata wateja si inategemea na hitaji bidhaa na mbinu unayotumia.

$1 kwenye Facebook tangazo huonekana kwa watu 1000 kama sijakosea.

Kwa hiyo fb inaoption ya kuchagua wateja unaowalenga kama vile unataka lioneka kwa kuzingatia umri,jenda,location nk.

Lakini mr kutoka kwenye website alexa niliona wiki iliyopita JamiiForums iliizidi Facebook kwa kuwa na watembeleaji wengi hapa tz kama walengwa ni hapa tz kwa nn usiwekeze nguvu nyingi JF.
1545168382037.png

Top Sites in Tanzania - Alexa
 
Nikupongeze kwa swali lako zuri, kwani inaonesha kwamba umeamua kuwa mjasiriamali katika mtandao.

Anyways, nikijaa katika jibu naomba ujue tu kutangaza biashara yako, iwe redioni, magazetini au hata FB kama unavouliza ina lengo kuu moja ambalo ni kuongeza audience itakayoweza kufikiwa na bidhaa hiyo.

Baada ya kutambua hilo, Je kuna umuhimu gani wa kuongeza audience wako??? Hii inakuongezea probabity za kupata wateja [baada ya conversion stage]

Ili uweze kuwapata hao wateja, itabidi ujue jinsi ya kuaandaa tangazo lako, vitu vya kuzingatia hapo ni kama demographics, psychology ya mteja, mahitaji yake N.K

Hivo ni vema ukaelewa japo hayo machache kabla ya kuandaa tangazo lako.

All the Best.
 
Mkuu ongeza budget yako maana minimum yatakiwa dola 1 kwa siku, weka walau dola 10. inabidi uwe mjanja pia kwenye kutemgeneza audience yako.
Hakikisha pia unadesign tangazo vizuri ambalo linavuta atention ya mtu.
Billing wanafanya mwisho wa mwezi au kama ukifikia spending limit ambayo umeweka
Let say umeset nikitumia dola 25 niweze kuwekewa billing.
Anza pale pale mdogo mdogo utaemdelea kujifunza vingine
 
View attachment 971781
Top Sites in Tanzania - Alexa
Kweli
 
Asante sana mkuu
 
Mkuu ongeza budget yako maana minimum yatakiwa dola 1 kwa siku, weka walau dola 10. inabidi uwe mjanja pia kwenye kutemgeneza audience yako.
Hakikisha pia unadesign tangazo vizuri ambalo linavuta atention ya mtu.
Billing wanafanya mwisho wa mwezi au kama ukifikia spending limit ambayo umeweka
Let say umeset nikitumia dola 25 niweze kuwekewa billing.
Anza pale pale mdogo mdogo utaemdelea kujifunza vingine
Asante sana boss
 
Binafsi nilianza kutumia budget ya dollar moja kwa Siku inafikia wat u 500-1400
kwa week na bust tangazo Mara tatu au inategema ila najicontol kwa mwezi natumia budget isiyopungua dollar 15-20.

Kwa experience yangu ndogo usitumie budget nyingi kwa mwezi km biashara yako inamtaji chini ya million Moja. Na hata Kama itazidi inabidi ujue kucheza na wakati

vitu vya kuzingatia
1.Aina ya biashara unayofanya ,kuna bidhaa zinasoko zaidi Mfano vipodozi, handbags, accessories za wanawake n.k tafuta biashara amabayo watu wengi kwenye soko inahitajiwa.

2.Bei, bei za bidhaa zako ziwe rafiki kwa mtanzania wa kipato cha Kati .watanzania wengi wanapenda vitu Vizuri lakini cheap. Hapa changa Karata yako vizuri.

Hayo machache tu .niongeza Fb Ads itakusaidia tangazo lako lifikie watu wengi Ila usipokuwa makini utaishia kupata like nyingi sio wateja.
 
Asante sana daaah ubarikiwe mnooo
 
Nasikia saizi TRA wanaanza kutoza kodi kwa wanaotangaza biashara mitandaoni, swali langu; Watawafikia vipi wale waliopo nje ya Nchi na yanatangaza Facebook, Youtube kupitia Ads,Instagram na mitandao mingine?

Wanasemaje kuhusu makampuni yanayotangaza online na yapo nchi nyingine lakini matangazo yao yanaonekana Tz?

Watayafunga matangazo yao au wataingia mikataba na wamiliki wa Mitandao hiyo ili kupata kodi hiyo moja kwa moja kutoka kwa wangazaji?

Vipi kuhusu wamiliki wa mitandao hiyo, wao hawalipi kodi? Sheria hii inambana mtumiaji tu au na mmiliki? Akitozwa kodi mtanzania na aliye nje ya nchi anatangaza biashara akiwa nchini kwake na tangazo linafika Tanzania kisha linapata wateja wa kitanzania kodi hii itamhusu au ndio atakua huru?

Maswali ni mengi lakini niishie hapo. Mitandaoni kumekuwa kubaya Sana, sheria za mitandao zinafanya kazi yake na TRA inakusanya Kodi.
 
Itakua ni hatua mbaya sana yaani kila mahali watufate watukamue tu?hapana aisee sitokubali kamwe
 
Binafsi nilianza kutumia budget ya dollar moja kwa Siku inafikia wat u 500-1400
kwa week na bust tangazo Mara tatu au inategema ila najicontol kwa mwezi natumia budget isiyopungua dollar 15-20.

Kwa experience yangu ndogo usitumie budget nyingi kwa mwezi km biashara yako inamtaji chini ya million Moja. Na hata Kama itazidi inabidi ujue kucheza na wakati

vitu vya kuzingatia
1.Aina ya biashara unayofanya ,kuna bidhaa zinasoko zaidi Mfano vipodozi, handbags, accessories za wanawake n.k tafuta biashara amabayo watu wengi kwenye soko inahitajiwa.

2.Bei, bei za bidhaa zako ziwe rafiki kwa mtanzania wa kipato cha Kati .watanzania wengi wanapenda vitu Vizuri lakini cheap. Hapa changa Karata yako vizuri.

Hayo machache tu .niongeza Fb Ads itakusaidia tangazo lako lifikie watu wengi Ila usipokuwa makini utaishia kupata like nyingi sio wateja.
Hii paragraph ya mwisho Sijaelewa
 
JE WEWE NI MJASILIAMALI AU MFANYA BIASHARA MDOGO AMBAE UNATAMANI BIASHARA YAKO IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI? .
.
AU UNATAMANI KUANZISHA BIASHARA
ONLINE( Instagram NA Facebook )
LAKIN HAUJUI UTA ANZAJE? .
.
USIJALI SHUSHA PUMZI! RELAX....
.
DREAM TECHNOLOGY. IMEANZISHA KOZI MAALUM INSTA-FACE 4 BUSINESS, AMBAYO ITATATUA MATATIZO YAKO
.
KWENYE KOZI HII UTAJIFUNZA MAMBO YAFUATAYO .
.
(1) JINSI YA KUBADILI ACCOUNT YAKO YA Instagram KUA YA BIASHARA. .
.
(2) JINSI YA KULIPIA TANGAZO Instagram NA Facebook .
.
(3) JINSI YA KU SPONSOR TANGAZO Instagram NA Facebook. KUTUMIA ADS MANAGER.

(4) MBINU MPYA ZA KUUZA BIDHAA AU HUDUMA YOYOTE ILE KWA URAHISI .
.
(5) NAMNA YA KUSET AUDIENCE TARGETING ILI KUPATA WATEJA SAHIHI KWA 80% .
.
(6)NAMNA YA KUANDAA PICHA NZURI ZA KUPOST MTANDAONI KWA KUTUMIA SMARTPHONE.
.
(7) JINSI YA KU COMMUNICATE (KUWASILIANA ) VYEMA NA WATEJA KUPITIA WHATSAPP BUSINESS.
.
MAFUNZO YATAENDESHWA ONLINE KWENYE GROUP LA WHATSAPP KWA VIDEOS HATUA KWA HATUA KUANZIA TAREHE 15/03/2020 HADI 20/03/2020
KWA ADA YA TSH 15,000/= TU.
.
KAMA UPO NDANI YA DAR UTAFUATWA MAHALI ULIPO
UTAFUNDISHWA MAFUNZO YOTE KWA VITENDO.
KWA ADA YA TSH 30,000/= TU
.
MUDA :UNAJIPANGIA MWENYEWE
KUANZIA SAA 3 ASUBUHI --HADI SAA 11 JIONI
(KWA WATU WA DAR)
.
KAMA UPO SERIOUS UNATAKA KUJIFUNZA
TUMA UJUMBE WATSAP :0622578977
(NATAKA KUJIFUNZA ). . .AU PIGA
0622578977.
.
KAMA UTAFANYA MALIPO KABLA YA TAREHE 14/03/2020 UTAPATA PUNGUZO LA TSH 5,000/=

STUKA : AJIRA ZINASUMBUA HIVYO YAKUPASA KUJIKITA NA KUJIWEKEZA KWENYE KUJIAJIRI
.
NB :HII SIO KWA AJIRI YA KILA MTU ....
HII NI KWA WATU AMBAO WAPO SERIOUS NA WALIO NA KIU YA KUJIKOMBOA KIMAISHA NA KIBIASHARA .
.
FANYA MAAMUZI SASAHIV BIASHARA ZA SASA NI MTANDAONI.
dreamtechnologytz_20200309_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom