la pioche06
Member
- Dec 7, 2021
- 9
- 3
Mdogo wangu kachaguliwa Bachelor of science in Information n Technology St. John, anaitaka pharmacy ana division 2.10 watamruhusu kuhama au nimpeleke diploma afya.
Apo st John pharmacy ipo sasa naomba maelekezo kwamba apambane na tcu kivipHapo anatakiwa apambane na TCU....
kuna dogo alipambana hadi akabadilishiwa tena hata chuo akapelekwa kingene ambacho kina hiyo course ya Pharmacy.
Awahi chuo tu. Akapambanie KombeApo st John pharmacy ipo sasa naomba maelekezo kwamba apambane na tcu kivip