Msaada Kuhusu Kuhama Chuo

Okeilomo720

Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
35
Reaction score
24
Wakuu Naomba Kuuliza Mama Unataka Kuhama Kutoka SAUTI Branch Ya Arusha Kwenda SAUTI Mwanza Process Zake Zikoje?

Msaada Tafadhali
 
Ingia akaunt yako ya TCU utaona sehemu imeandikwa Transfer, click hapo upate maelekezo ya kutosha.
 
Mimi nilifanya hivi,,,,, nilipangwa chuo X .hivyo nikaamua kwenda chuo Y kucomferm na nilopokubaliwa wao chuo Y ndio wakanishughulikia suala langu hadi TCU kuwa mtu huyu kwasasa yupo chuo Y ,,, siku unaenda chuo Y lazima uende na matokeo yako halisi ya muda wote ulipokuwa chuo X..yaliyosainiwa na chuo ulichokuwa unasoma
 
Huyu Mtu Ndo Amechaguliwa Mwaka Huh Anataka Kuhama Branch Kutoka Sauti Mwanza Kwenda Sauti Mwanza
 
Ingia akaunt yako ya TCU utaona sehemu imeandikwa Transfer, click hapo upate maelekezo ya kutosha.
Anhaa Kwa Hiyo Process Take Ni Saw a Tu Na Mtu Anayehama Chuo?

Nilijua Kuhama Branch No Tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…