Nkuruvi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 620
- 643
Wakuu naomba mnijuze. Nimesikia kwamba kunakufutiwa matokeo ya masomo mtu aliyofaulu awali (aliyo record) NBAA endapo utashindwa kukamilisha kupata CPA (T) ndani ya miaka mitatu. Yaani mfano: Endapo mtu alifaulu masomo matatu katika final stage, ikapita miaka mitatu bila ya kukamilisha hili moja basi atafutiwa yale matatu ambayo alifaulu awali. Je hii ni kweli?