daltony temu
Member
- Jun 7, 2019
- 10
- 4
wa nasubir mawazo ..najua hii ni sehemu sahihiWanakuja mkuu.
ndo mana nimeleta uku nijue mkubwa ..Ukimaliza unaweza kufanya kazi gani au hata wewe hujui????
Kama hapo hata kazi anazoweza kuja kufanya hajui...!! Yani hiyo degree yake hakuna mahali kashawahi kuiona inahitajika mtu kuwa na sifa kama hizo..kwanin mnachagua koz ambazo hamzielewi kwanib mnachagua kozi ambazo hamzipendi inakuaje hii?
Sasa unashauri au unapondaKama hapo hata kazi anazoweza kuja kufanya hajui...!! Yani hiyo degree yake hakuna mahali kashawahi kuiona inahitajika mtu kuwa na sifa kama hizo..
Kwanza pole sana kijana kimsingi hata mimi mdogo wangu alisoma CBG now yupo sua anasoma Horticulture at least hii inalipa japo sio sana ukika kwenye Ishu za Kilimo cha kisasa hasa maua inalipa laiti home kungekuwa na uwezo na wazazi wangekuwa waelewa dogo ningekomaa dogo asiende A level kwa Comb ya CBG bora ukasome Diploma mara 1000 kama vigezo vinakizi CO lakini kipindi hiki CBG ni KUPOTEZA MUDAAAA... hujachelewa sana ila hiyo comb yako angalia inahusu nini hasa ingia Google isome labda unaweza kuja kujiajiri kupitia hiyoo! System yetu ya elimu haijui kuwapa watu wanachohitaji ili kufanikiwa inawapa watu wanachostahili hata kama wanapotea[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wewe unaonaje??Sasa unashauri au unaponda
Heri unyamaze kuliko kuponda,sas maelekezo yako uliyotoa yatamsaidia nn kwamba kusoma cbg ni kupoteza mda na tayari kashaisoma afanye nn sasaWewe unaonaje??
Nimemwambia option ya kwenda Diploma ya Afya kama ana uwezo na endapo o level credit zinamruhusu bora kuanza upya kuliko kupoteza miaka mingine 3 ya mateso na future yake hana matumaini atafanya kazi gani ukute hata bumu na ada hanaa sasa gharama za miaka yote hiyo bora aanze diploma CLINICAL OFFICER.Heri unyamaze kuliko kuponda,sas maelekezo yako uliyotoa yatamsaidia nn kwamba kusoma cbg ni kupoteza mda na tayari kashaisoma afanye nn sasa
Kibaya zile tunazo zipenda hatuchaguliwi matokeo yake una pata kitu ambacho haujawahi ata kuota tuWakuu iv pindi tunapoomba vyuo si tunachagua wenyewe fucult? usisubirie wa2 kukupa moyo Fanya unachoona sahihi kwako
tatizo jinsi mnavyopanga kozi hata wanaofanya selection wanaona kabisa hamna akili sorry!Kibaya zile tunazo zipenda hatuchaguliwi matokeo yake una pata kitu ambacho haujawahi ata kuota tu
CBG inataka ufaulu, sio uwe na marks chache maana kozi zake zina watu wengi. Afu ukute mdogo wako ni yulee manzi nnaemmendea. Sema kanambia kaka yake yuko jeshini[emoji4][emoji4]Kama hapo hata kazi anazoweza kuja kufanya hajui...!! Yani hiyo degree yake hakuna mahali kashawahi kuiona inahitajika mtu kuwa na sifa kama hizo..
Kwanza pole sana kijana kimsingi hata mimi mdogo wangu alisoma CBG now yupo sua anasoma Horticulture at least hii inalipa japo sio sana ukika kwenye Ishu za Kilimo cha kisasa hasa maua inalipa laiti home kungekuwa na uwezo na wazazi wangekuwa waelewa dogo ningekomaa dogo asiende A level kwa Comb ya CBG bora ukasome Diploma mara 1000 kama vigezo vinakizi CO lakini kipindi hiki CBG ni KUPOTEZA MUDAAAA... hujachelewa sana ila hiyo comb yako angalia inahusu nini hasa ingia Google isome labda unaweza kuja kujiajiri kupitia hiyoo! System yetu ya elimu haijui kuwapa watu wanachohitaji ili kufanikiwa inawapa watu wanachostahili hata kama wanapotea[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wenye one ya 3 wenyewe wanaishia kuwa maafisa mifugo shubamitCBG inataka ufaulu, sio uwe na marks chache maana kozi zake zina watu wengi. Afu ukute mdogo wako ni yulee manzi nnaemmendea. Sema kanambia kaka yake yuko jeshini[emoji4][emoji4]