Msaada kuhusu kuandika barua kwa meneja wa Tanesco morogoro

Ramour Fonte

Member
Sep 2, 2018
5
0
Naomba kwa anaejua namna ya kuomba ZERO TARIFFS TANESCO yaani naamdikaje hyo barua ya kuomba hyo kitu natanguliza shukrani.
 
Naomba kwa anaejua namna ya kuomba ZERO TARIFFS TANESCO yaani naamdikaje hyo barua ya kuomba hyo kitu natanguliza shukrani.
Juzi kuna jirani yangu amempigia simu Mtanesco kuhusu iyo mambo Mtanesco akamjibu "achana na hiyo mambo mana hiyo huduma haina muda mrefu itaondolewa"
mwenye ufahamu zaidi kuhusu hii tetesi atufahamishe
 
Kwanza hakikisha una ushahidi wa miezi 6 kuwa unatumia umeme usiozidi unit 75
 
pia ili uweze kupata huduma hio inatakiwa kuwa hujawahi kuwa kwenye huduma hio ya wateja wadogo, nyumba isiyo ya biashara.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba hii 0768985100
 
Back
Top Bottom