Msaada kuhusu ku-unconfirm Chuo

Msaada kuhusu ku-unconfirm Chuo

Diallo genius

Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
80
Reaction score
64
Habari Wana JF,

Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2022 comb HGL Nime confirm chuo TIA Mbeya kozi ya Bachelor of Marketing and Public Relations lakini naona napenda sana BaED kuliko hii kozi niliyo confirm hivyo nahitaji Ku unconfirm na Ku confirm chuo kingine coz pia nilichaguliwa BAEd.

Hivyo naomba ushauri je ni madhara gani yanaweza yakatokea kwenye mkopo endapo Niki unconfirm.
Na je, naweza kuwa sahihi kuacha BMPR na kwenda BAEd? Kama mtu atapenda kunishauri basi anipe Strength na weakness za kozi zote mbili.

Natanguliza shukrani.
 
Wewe passion yako ni nini? Na lengo la kusoma BAED ni lipi? BAED na hiyo kozi ya marketing. Ninahisi kozi ya Mareketing ni nzuri zaidi.
 
Kiukweli passion ni Baed marketing pia napenda lakin sio kwa kiwango cha BAEd.
 
Huna lolote wewe.umeona jamaa zako wote wamechaguliwa BAED nawe unaanza kuzuga eti unaipenda BAED.
Unconfirm for your own risk
 
Courses za muhimu
Ualimu
Udaktari
Kilimo
Hayo Mambo mengine unaweza Soma hata Veta inatosha
 
Soma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisa kuliko hizi fani zingine
 
Acha kumdanganya mwenzio hayo Mabaed yanafaa Sana
Udalali unahitaj kuusomea Kweli?
 
Ushauri wangu kama unaipenda kwa dhati BAED unaweza kuunconfirm ndio....unaenda chuo husika unaunconfirm kupitia TCU code uliyotumia kukonfirm chuo hiko cha MBEYA then hio hio TCU code utaitumia kukonfirm chuo hiko kingine unachotaka kwenda
......Fanya uchaguzi sahihi usikurupuke mana KWA kipindi hiki kwa mtazamo wangu hakuna kozi yenye direct mteremko wa kupata AJIRA ukimaliza but ni vema kufanya ile kitu moyo wapenda mana kuna kacomfortability flani unakapata
.......CHANGAMOTO ZA KUHAMA CHUO
....Mara kadhaa watu wanaochelewa kuhama chuo/wanaohama hizi raundi za mwisho za udahili wa vyuo kasumba wanayopitia ni ucheleweshwaji wa kupata mikopo yao kama walishapata kipindi cha nyuma maana inabidi taarifa zako zipelekwe HESLB then HESLB wahamishie mkopo chuo kingine
....Usipokuwa makini unaweza kukosa vyuo vyote
....Kuna vyuo ni vigumu kuwaachia wanafunzi Sana Sana wa raundi za mwisho hizi,, yaani ata sehemu ya kuunconfirm unaweza usiione
Ni matumaini yangu utapata mwanga wa kufanya maamuzi sahihi ALL THE BEST
 
Soma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisa kuliko hizi fani zingine

Daktari wa wapi huyo wanalipwa laki nne kwa Bachelor?
 
Soma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisa kuliko hizi fani zingine
Kujiajiri hakusomewi ndugu ni ujanja wa mhusika tu. Wafanyabiashara maarufu wengi hawajasomea biashara na wengine ni darasa la tatu tu
 
Soma ualimu uje mtaani ukae huna ajira
Soma udakitari utumie Muda mrefu na masomo magumu huku Ada ukiwa kubwa na ukimaliza uajiliwe ulipwe laki NNE
Soma kilimo uje uhangaike kupata ajira huku fursa za kujiajiri zikiwa ngumu hasa mtaji
Soma marketing ukikosa ajira utajiajiri kwa ghalama ndogo kabisa sababu umesomea kupromote bidhaa kama vile kuwa dalali huku ukipata Faida kubwa bila ghalama kubwa pia unaweza kuwa chawa wa MTU na ukawa na maisha mazuri kabisa kuliko hizi fani zingine
Asome Marketing ili awe dalali?
 
Habari Wana JF,

Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2022 comb HGL Nime confirm chuo TIA Mbeya kozi ya Bachelor of Marketing and Public Relations lakini naona napenda sana BaED kuliko hii kozi niliyo confirm hivyo nahitaji Ku unconfirm na Ku confirm chuo kingine coz pia nilichaguliwa BAEd.

Hivyo naomba ushauri je ni madhara gani yanaweza yakatokea kwenye mkopo endapo Niki unconfirm.
Na je, naweza kuwa sahihi kuacha BMPR na kwenda BAEd? Kama mtu atapenda kunishauri basi anipe Strength na weakness za kozi zote mbili.

Natanguliza shukrani.
Utasomea ualimu tena wa arts, mbaya zaidi ukute unaishi bongo duuh!

Nakushauri ukasome hiyo kozi ya marketing!
 
Back
Top Bottom