Msaada jinsi ya ku unconfirm chuo kimoja ili ku confirm kingine!!

Methyl phenol

Senior Member
Joined
Jul 22, 2021
Posts
184
Reaction score
283
Hey guys Kama title inavyoonekana kuna rafiki yangu nmemaliza nae six ali apply vyuo kadhaa akachaguliwa vyuo kadhaa pia mapicha yameanza kuonekana kwenye ku confirm amejaribu ku konfem kwenye chuo anachokitaka anaambiwa pale already confirmed at other institute mbaya zaidi hio institute nyingine hatuelewi n ipi so jamani mwenye uzoefu jinsi ya kusolv hili tatizo let's say mekijua iko chuo ambacho n confirmed nawezaje ku unconfirm ili kukonfem chuo husika the saddest deadline n kesho sept 6!!
IMG-20210905-WA0000.jpg
 
Hey guys Kama title inavyoonekana kuna rafiki yangu nmemaliza nae six ali apply vyuo kadhaa akachaguliwa vyuo kadhaa pia mapicha yameanza kuonekana kwenye ku confirm amejaribu ku konfem kwenye chuo anachokitaka anaambiwa pale already confirmed at other institute mbaya zaidi hio institute nyingine hatuelewi n ipi so jamani mwenye uzoefu jinsi ya kusolv hili tatizo let's say mekijua iko chuo ambacho n confirmed nawezaje ku unconfirm ili kukonfem chuo husika the saddest deadline n kesho sept 6!!View attachment 1925080

Ingia website ya TCU pale kwenye Announcements utakuta pdf ya wanafunzi wenye multiple admission...fanya uidownload umuangalizie jina lake ndo mtaona hiko chuo alichochaguliwa.
 
Kama cha private sahau kuankonfirm ila toa taarifa chuo unachokitak watkusajili.. Simpo
 
Hey guys Kama title inavyoonekana kuna rafiki yangu nmemaliza nae six ali apply vyuo kadhaa akachaguliwa vyuo kadhaa pia mapicha yameanza kuonekana kwenye ku confirm amejaribu ku konfem kwenye chuo anachokitaka anaambiwa pale already confirmed at other institute mbaya zaidi hio institute nyingine hatuelewi n ipi so jamani mwenye uzoefu jinsi ya kusolv hili tatizo let's say mekijua iko chuo ambacho n confirmed nawezaje ku unconfirm ili kukonfem chuo husika the saddest deadline n kesho sept 6!!View attachment 1925080
[emoji3516]
KILICHONIODOLEA MOOD YA KUKUPA MWONGOZO NI KIPENGELE CHA WEWE KUMSINGIZIA RAFIKI YAKO,
WAKATI WEWE MWENYEWE ND'O "ULIKOMFEM" ARDHI,
BAADA YA KUAMBIWA KUWA MZIKI WA "GEOMATICS" PALE SIO LELE_MAMA-
ND'O UNATAKA UTOKE MBIO UKAIWAHI KOZI YAKO YA "HUMAN RESOURCES MANAGEMENT" PALE UDOM.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Hahaa apana mkuu hio alii screen shot akantumia , ardhi ndo anaitaka so inagoma
 
Back
Top Bottom