Msaada kuhusu ku-invest (kuwekeza)

Msaada kuhusu ku-invest (kuwekeza)

Ukiinvest kwenye hisa, return yake ni ndogo mfano waulize walioinvest voda, mtu kaweka lak 3 anashangaa anapewa gawio la 15000 kwa mwaka au less, unless uweke mpunga wa maana.

Kama wataka first money labda uinvest kwenye short term projects hizi za watu wanaungana wanapig kilimo lakini kisiwe cha instagram na kwenye makaratasi.

Pia kuwa makini watu wasije kukuletea project zenye return kubwa wakupige ela maana humu kuna mahunter
Mkuu unataka kumuingiza kijana kwenye mkenge wa Mr kuku
 
Mkuu unataka kumuingiza kijana kwenye mkenge wa Mr kuku
Nimesisitiza siyo kilimo cha instagram au facebook kama Mr.Kuku maanake inabidi ufanye kweli kilimo uende field usimamie vibarudia
 
Back
Top Bottom