Mboya Allie Member Joined Mar 13, 2012 Posts 95 Reaction score 69 Sep 18, 2016 #1 Habari za j2 wakuu, simu tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la kuji restart yenyewe mara kwa mara, sasa naomba msaada kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza tatua hilo tatizo. Asanteni
Habari za j2 wakuu, simu tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la kuji restart yenyewe mara kwa mara, sasa naomba msaada kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza tatua hilo tatizo. Asanteni