costantine yohana
Member
- Dec 26, 2016
- 68
- 18
Wakuu wenye maujuzi na waliosoma Computer Science na Computer Engineering naomba ushauri wenu kati ya hizi kozi ni ipi itakuwa poa sana kusoma na kukupatia kipato cha maana hapa Nchini kwa kujiajr au kuajiriwa.
Na chuo gani ni better zaidi kwa hizi kozi.
Na chuo gani ni better zaidi kwa hizi kozi.
