Msaada kuhusu kozi za afya kwa matokeo haya

Anselem mathew

Senior Member
May 17, 2017
107
66
Wadau habar za uzima nilikuwa napenda kuomba ushaur juu ya kozi IPI ya afya inaweza kuwa bora kwangu kulingana na matokeo haya yangu physics D chemistry C biology C English C geography C civics C math F kiswahili C na history D
 
Inategemeana unapenda nini hapo kozi za afya zote zinakubali na inategemeana na chuo unachoomba
Target ni nzuri zaidi kuliko kufanya bora liende lolote kwa kozi yeyote,fanya unachokipenda
 
Wadau mambo VP naombeni msaada wenu juu ya kozi IPI naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C math F na history D ushaur wenu wakuu
 
Inategemeana unapenda nini hapo kozi za afya zote zinakubali na inategemeana na chuo unachoomba
Target ni nzuri zaidi kuliko kufanya bora liende lolote kwa kozi yeyote,fanya unachokipenda
Vp clinical medicine naweza kupiga diploma
 
Wadau mambo VP naombeni msaada wenu juu ya kozi IPI naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C math F na history D ushaur wenu wakuu

Kwa hiyo mkuu na wewe unataka kuwa daktari ?
 
Sasa wanasema

d tano pia ninazo ila na math wanataka D na mm Nina F hapa daaa pananiumiza sana
Wewe usijali kijana tenmbelea vyuo vya private wanakupokea, hiyo math wameiekea priority special sana kwaajili ya vyuo vyuo serkali, km upo dar nenda nenda Kam college kimara pale
 
Hiyo F ya maths itakusumbua na vigezo vipo sawa kote private na government na siku ya mwisho udahili utafanywa na nacte kuangalia kwenye sifa sasa sijajua itakuwaje hapo
 
Back
Top Bottom