nikkjems Member Joined Feb 5, 2023 Posts 13 Reaction score 10 Feb 11, 2023 #1 Wana JF naombeni mnasaidie kuhusu kozi ya architecture inahusu nini? Na ukisoma kozi hiyo unaweza kufanya kazi sehem gani?
Wana JF naombeni mnasaidie kuhusu kozi ya architecture inahusu nini? Na ukisoma kozi hiyo unaweza kufanya kazi sehem gani?
nikkjems Member Joined Feb 5, 2023 Posts 13 Reaction score 10 Feb 11, 2023 Thread starter #2 nikkjems said: Wana JF naombeni mnasaidie kuhusu kozi ya architecture inahusu nini? na ukisoma kozi hiyo unaware kufanya kazi sehem gan? Click to expand...
nikkjems said: Wana JF naombeni mnasaidie kuhusu kozi ya architecture inahusu nini? na ukisoma kozi hiyo unaware kufanya kazi sehem gan? Click to expand...
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,796 Feb 11, 2023 #3 Unataka kuwa msanifu majengo
nikkjems Member Joined Feb 5, 2023 Posts 13 Reaction score 10 Feb 11, 2023 Thread starter #4 Carrasco putin said: Unataka kuwa msanifu majengo Click to expand... Yeah vipi kwenye ajira unaweza pia kujiajiri kwa mtu aliyesoma hiyo kozi
Carrasco putin said: Unataka kuwa msanifu majengo Click to expand... Yeah vipi kwenye ajira unaweza pia kujiajiri kwa mtu aliyesoma hiyo kozi
N Ndugu mkandarasi New Member Joined Nov 17, 2020 Posts 1 Reaction score 1 Feb 11, 2023 #5 Inahusu usanifu Majengo, ni rahisi kujiajiri kutokana na ubora wa kazi zako(output) NB: Ni kozi inayohitaji utayari wa kutosha, rekodi zinadhihirisha wengi kuitelekeza kozi katikati. Sambamba na hilo ni kozi inayohitaji rasilimali pesa sana
Inahusu usanifu Majengo, ni rahisi kujiajiri kutokana na ubora wa kazi zako(output) NB: Ni kozi inayohitaji utayari wa kutosha, rekodi zinadhihirisha wengi kuitelekeza kozi katikati. Sambamba na hilo ni kozi inayohitaji rasilimali pesa sana