Msaada kuhusu kodi ya kampuni TRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu kodi ya kampuni TRA

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by JF2050, Oct 13, 2012.

 1. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wadau habarini za jioni,


  Nimesajili ltd company kama miezi kadhaa iliyopita na nilitegemea hadi kufikia mwisho wa mwaka huu ningeanza kufanya biashara na kuanza kulipa kodi TRA pia, lakini bado nipo kwenye mchakato wa kufanya maandalizi, na huenda ikanichukua mwaka mzima. Hii ni kwa sababu naandaa mazingira endelevu ya biashara na ni biashara inayohitaji mipangilio ya muda mrefu.

  Nataka kuiandikia TRA barua kuiambia iniongezee muda wa kutonidai kodi kwani biashara bado haijaanza. Je, TRA wanaweza kunipa muda wa kujiandaa hadi mwaka (miezi 12)?

  Ahsanteni

  classics
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani walikwambia ukiandikisha ltd comoany unalipa mapato wskati huo huo hata kama certficate yakr umeiweka sandukuni tu? Ninachojua mimi unalipa mapatp pale unapo anza biashara yenyewe hasa hasa ni baada ya kufanya mikokotoo ya kutafuta faida mwidho wa mwaka wa biashara iliyofanywa tayari.
   
Loading...