Msaada kuhusu Kodi IPTV

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Wadau naomba msaada nimeupdate kodi kutoka play store lakini kila baada ya muda kuna huu ujumbe unatokea,unfortunately,kodi has stopped tatizo ni mini!
 
Kodi ni nini mkuu??...... kuna app ya TRA ya kulipa kodi playstore?
 
Kodi IPTV ya kuangalia mpira
 
Wadau naomba msaada nimeupdate kodi kutoka play store lakini kila baada ya muda kuna huu ujumbe unatokea,unfortunately,kodi has stopped tatizo ni mini!
Kumbuka Kodi 17 Krypton inabidi uwe na Android Lollipop.

Wamei abandon Android Kitkat
 
May be hiyo inamashida. Jaribu ku clear cache ya hiyo app. Lasivyo itabidi udowngrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…