abaa4all JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 326 Reaction score 344 Jul 8, 2018 #1 Habar wakulima Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji. Ntashukuru
Habar wakulima Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji. Ntashukuru
I Idofi JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 2,294 Reaction score 2,008 Jul 9, 2018 #2 ukanda wa joto miezi mitano ukanda wa baridi miezi saba
abaa4all JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 326 Reaction score 344 Jul 9, 2018 Thread starter #3 Idofi said: ukanda wa joto miezi mitano ukanda wa baridi miezi saba Click to expand... Shukran sana mkuu,je sehemu kma moro nayo itkuwa mitano?
Idofi said: ukanda wa joto miezi mitano ukanda wa baridi miezi saba Click to expand... Shukran sana mkuu,je sehemu kma moro nayo itkuwa mitano?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,026 Reaction score 859,117 Jul 9, 2018 #4 abaa4all said: Habar wakulima Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji. Ntashukuru Click to expand... Sorry nilikuja kasi nikidhani ni kuhusu matumizi yake hasa kiroho
abaa4all said: Habar wakulima Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji. Ntashukuru Click to expand... Sorry nilikuja kasi nikidhani ni kuhusu matumizi yake hasa kiroho
abaa4all JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 326 Reaction score 344 Jul 9, 2018 Thread starter #5 Mshana Jr said: Sorry nilikuja kasi nikidhani ni kuhusu matumizi yake hasa kiroho Click to expand... Unaweza kushare watu wakapata faida
Mshana Jr said: Sorry nilikuja kasi nikidhani ni kuhusu matumizi yake hasa kiroho Click to expand... Unaweza kushare watu wakapata faida
I Idofi JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 2,294 Reaction score 2,008 Jul 10, 2018 #6 abaa4all said: Shukran sana mkuu,je sehemu kma moro nayo itkuwa mitano? Click to expand... haitazidi mitano
abaa4all said: Shukran sana mkuu,je sehemu kma moro nayo itkuwa mitano? Click to expand... haitazidi mitano