falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 1,197
- 3,004
Wakuu habari za weekend.
Naomba maelezo kwa huduma ya kipimo cha colonoscopy kama ifuatavyo
1. Hospital gani hutoa huduma hii kwa hapa dar es salaam hosp binafsi au umma
2. Bei zake zikoje
3. Huchukua muda gani kupata majibu.
Muwe na weekend njema