Mostwanted boy
Senior Member
- Aug 24, 2013
- 115
- 10
nahitaji kununua king'amuzi, sijui kinauzwa sh. Ngapi? Na sijui gharama za kuunganishiwa? Na kipi ni kizuri au bora kati ya ving'amuzi vinavyopatikana tz (star times, zuku etc). Msaada jaman kwaanayefahamu, elimu ya ziada pia naihitaji. Nipo mkoa mpya Simiyu Wilaya ya Busega kijijini (porini).