Msaada kuhusu kin'gamuzi cha azam

mzee wa busara

Senior Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
181
Reaction score
86
please JF nisaidieni namna ya kupata/kuziona namba za kin'gamuzi cha AZAM ili niweze kulipia kwa njia ya MPESA/TigoPESA?,kifupi mimi natumia kingamuzi cha STARTIME ila kuna ndugu yangu yupo mbali kanipigia simu kuniuliza hilo swali nikamwelekeza kucheki kwenye kadi ya hicho kingamuzi(kama ilivyo kwenye hiki cha startime) akaniambia hata hiyo kadi hajui iko wapi,hata kwenye risiti aliyonunulia pia hizo namba hazipo. so muda wote anacheki channel zile za bure tu (local),nisaidieni ili nami nimsaidie ndugu yangu.
 
Huyo Jamaako atakuwa ni Muongo. Kwani Card yake Inaonekana kabisa Ubavuni Kulia mwa decorder. Hivyo basoi Mwambie aichomoe hiyop Card wakati Kisimbuzi kimezimwa,then ataziona namba nyingi/ndefu mithili ya tarakimu za MATRILION.

Je!? Akipewa kisimbizi cha EASY-TV, ukimwambia aichomeo Card yake, si ataenda kuitafuta kwa Mangi dukani alikoinunua!???
 
Ni kwdli ipo ubavuni achomoe aangalie namba zake ndpo anaweza kutumia hzo namba kulpa m-pesa.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu mzuri, nimeshampigia ndugu yangu kumweleza mlivyonishauri Amefanikiwa kuziona hizo namba na kulipia kwa Mpesa,thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…