Hii comment ni ya nini Sasa?!Kaka yangu yupo huko ni mwalimu, mkuu wa shule Moja ya sec.
Tatizo kufahamiana mtandaoni, nisije kumuingiza Chaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ungekaa kimya tu mbuzi weeeKaka yangu yupo huko ni mwalimu, mkuu wa shule Moja ya sec.
Tatizo kufahamiana mtandaoni, nisije kumuingiza Chaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameongea vizuli , kuna kaka yakelkn huyu anaekwenda kulima hamuamini kwa sababu wamekutana mtandaoniBora ungekaa kimya tu mbuzi weee
Umeonywsha tabia yako mapema.Bora ungekaa kimya tu mbuzi weee
Asante mkuuKilosa inawezekana ni kubwa kuliko Dar yote,...
Kuna maeneo mengi sana yanayofaa kulima kitunguu... Lumuma ni moja ya hayo maeneo unaweza kwenda kuanzia huko maana Kuna miundo mbinu ya kunwagilia, viatilifu, mbolea, nguvukazi, chanja na soko kwa ujumla...
tafadhali fika site utawakuta wakulima na wenyeji.. sisi Bado tunalimia kwenye kibodi.
kiongoz kama unataka kuilma wilaya ya kilosa bac lumuma ndo chaguo sahihi coz ardh yake ni potential tofaut na sehemu zngne kama kidete,mwasa , magulu au mzaganza vile vile kuna scheme nzur za umwagiliaj na kuna sehemu za kuhfadhia mazao kama soko l4takuw cyo nzuri kwa wakat huo hvyo bac ningekushauli uend lumuma coz ni mwenyej wa kule najua mazngira 8zur ingawa kwa sasa cpo kule ila kama utataka mawasilian na mtu aliekuwa kule nambie ntakupatia ili uanze kufanya mipango ya mashamb coz huu ndo muda mzuri wa kukod mashamb
9ao ndio nn?kuna mazao meng yanalimwa ila v2nguu ni 9ao kuu
"zao" mengine jiongeze mkuu9ao ndio nn?